Tendo la ndoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tendo la ndoa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Yona F. Maro, Apr 18, 2009.

 1. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #1
  Apr 18, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Nina swali. Ile tendo la kukutana mwanume na mwanamke na kufanya mapenzi ina majina mbalimbali. Wengine wanasema 'ngono', wengine' kut-mbana', wengine 'majambo', wengine 'kufanya', 'vituuz' na majina mengi. Lakini jina nacho shangaa ni hiyo, 'tendo la ndoa'. Ndo jina la heshima au sijui ndo kuweza kusema bila aibu. Au ndio wamisionari walituletea hiyo jina.

  Lakini watu wanaita 'tendo la ndoa' wakati tunajua kuwa watu wengi wanafanya kabla hawajafunga ndoa. Na watu ambao hawajafunga ndoa, wanafanya. Mungu sijui aliumbaje binadamu lakini kuvumulia mpaka kufunga ndoa si rahisi, katika jamii zote za dunia. Wanataka wasichana watunze bikra zao (lakini hiyo ni topiki nyingine). Pia watu wanafanya na watu ambao si wake, waume zao, sasa ndo ni tendo la ndoa?

  Au wanaita tendo la ndoa kusudi watu wajisikie vibaya wakifanya bila ndoa? Au wanataka walazimaishe wafunge ndoa? Ndoa ni hatua kubwa katika maisha ya bindamu. Na kwa kweli ukifunga ndoa ndo unafanya mapenzi na mwenzako kwa halali. Lakini wengine wanatembea nje ya ndoa zao.

  Je huko gesti au hotelini watu wanaombwa cheti cha ndo kabla ya kupewa chumba? Miili ya watu inacheka, eti hatuwezi kufanya mapenzi mpaka tufunge ndoa. Na nadhani ni vigumu sana wanaume waweze kuvumulia mpaka wafunge ndoa, maana mwili unafika ile peak ya 'maturity' kabla hawajafika miaka 19. Hebu someni vitabu vya biologia.

  Uwongo mbaya, watu wataendelea kufanya bila ndoa. Ile ume ya mwanaume ikisimama akili anakosa mpaka anapata kitu cha kumpooza! Na kuna wanawake nao kuna kipindi fulani wanashindwa kuvumulia lazima wapate kitu tena hali hiyo inatokea bila kufunga ndoa!

  Nafungua mjadala, karibuni mtoe maoni yenu.
   
 2. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,581
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  Hili tendo huwa linatakiwa kufanywa wakati mtu akiwa ameoa au ameolewa, na ndio maana linaitwa tendo la ndoa. Lakini kutokama upungufu wa maadili watu wanafanya hata wakiwa hawako kwenye ndoa na ndio maana kuna jina NGONO.

  Kuhusu Guest au Hotel kudai cheti cha ndoa, zipo chache sana ambazo zinaweza kufanya hivyo.
   
 3. Saikosisi

  Saikosisi JF-Expert Member

  #3
  Apr 18, 2009
  Joined: May 4, 2007
  Messages: 528
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  kwa wote linaitwa kujamiiana.

  kwa waliooana ni kujamiiana au tendo la ndoa.

  na sio upungufu wa maadili. binadamu ni mnyama kama wanyama wengine ki-biology, ila anajaribu kuji-distance na wanyama wenzake. ndo kusema kujamiiana kunatakiwa kuanza mara tu baada ya balehe na kufanya na as wengi as possible.

  ni mtazamo tu
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Apr 18, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,082
  Likes Received: 5,556
  Trophy Points: 280
  shy mpenda pole sana najua unahuzunika kupita kiasi
  ninachojua wakati mwanamke ama mwanaume wakiingiliana yaani kufanya mapenzi
  kama wameoana hilo linaitwa ----------***TENDO LA NDOA****
  kama hawajaoana hilo linaitwa ""UZINZI" najua utashangaa kidogo lakini tendo la ndoa linatyumika kwa wale wenye NDOA tu na kaama wakipelekana guest awajaoana hiyo ni uzinzi;
  soma mithali 6:26 inaelezea vizuri kuhusu uzinzi na unywaji pombe
  weekendo njema kaka
   
 5. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #5
  Apr 18, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  jamani mama mia najisikiakawaida tu nasikiliza nyimbo moja hivi inaitwa SLEEPING CHILD IMEIMBWA NA VIJANA WA MICHAEL LEARNS TO ROCK
   
 6. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Sidhani kama kuna neno rasmi unaweza kusema hili ndilo haswa linalotakiwa kutumika (official term). Unaweza kutumia neno lolote tu kutegemeana na mahali na hadhira inayokuzunguka. Kama unaongea na mpenzi wako falagha (siyo lazima awe mume au mke) unaweza kutumia neno lolote kutegemeana na mlivyozoea. Mimi mara kibao tu namwambia wife kwamba nina hamu ya ngono na sidhani kama ninakosea. Kwa hiyo inategemea unataka kuremba kiasi gani. Lakini huwa nacheka sana kwamba unaweza kutumia neno kama "sex or intercourse" mbele za watu lakini siyo neno sawa na hilo kwa kiswahili (hata hapa nashindwa kuliandika)! Suala la kufanya mapenzi kabla au baada ya kuona ni mada ngumu kidogo. Nakushauri usome kitabu kimoja kimetungwa na mtaalamu wa kutoa ushauri kwa wanandoa ambaye pia ni mchunguji, kinaitwa "I married you". Kinaelezea vizuri ugumu wa kusubiri hadi ndoa katika mazingira ya sasa ambapo watu wanaoana wakiwa na zaidi ya miaka 30 ukilinganisha na huko nyuma ambapo wengine waliona kabla ya kufikisha miaka 20.
   
 7. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #7
  Apr 19, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mada tamu sana hii, wanandoa walete mavituz ,lakini Shy umeoa? Au unataka kuoa? Naona kama ipo kwa wakati wake.
   
 8. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #8
  Apr 19, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Ndugu yangu wewe unaonaje vile ninavyokuwa katika shuguli naweza kuwa nimeowa vile ?? nafikiri Pretty ananitaa ingawa simjui
   
Loading...