ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,699
- 9,460
Habari wandugu
Mimi ni mtaalamu wa mambo mbalimbali ninatafuta tenda za kupamba katika kumbi mbalimbali za sherehe, au shughulli kama vile mikutanoni, misibani, na shughuli yoyote, ni mtaalamu wa kutengeneza kadi mbalimbali za harusi, iwe kitchen party, sendoff, harusi, misiba na mtengenezaji wa Tshirt mbalimbali ziwe za maofisini, sehemu za promotion, na sehemu mbalimbali kwenye mikutano, ya kiofisi, kibiashara n.k, na vilevile ni mtengenezaji wa keki za harusi , birthday, kitchen, sendoff, na kadhalika.
Kama unahitaji kufanyiwa huduma hizi kwangu na uwe serious kwa jambo hili, basi usisite kuwasiliana nami ANIPM
Nimeambatanisha mojawapo ya huduma zangu angalia attachment hy;
<img width="16" height="16" src="template/JamiV1/default/misc/paperclip.png" class="inlineimg" alt="Attached Thumbnails" /> Attached Thumbnails