Tender ya Kupamba kwenye Maharusi, Kutengeneza Kadi za Sherehe mbalimbali, Na Keki, na ni MC pia

ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
14,699
9,458
Habari wandugu

Mimi ni mtaalamu wa mambo mbalimbali ninatafuta tenda za kupamba katika kumbi mbalimbali za sherehe, au shughulli kama vile mikutanoni, misibani, na shughuli yoyote, ni mtaalamu wa kutengeneza kadi mbalimbali za harusi, iwe kitchen party, sendoff, harusi, misiba na mtengenezaji wa Tshirt mbalimbali ziwe za maofisini, sehemu za promotion, na sehemu mbalimbali kwenye mikutano, ya kiofisi, kibiashara n.k, na vilevile ni mtengenezaji wa keki za harusi , birthday, kitchen, sendoff, na kadhalika.

Kama unahitaji kufanyiwa huduma hizi kwangu na uwe serious kwa jambo hili, basi usisite kuwasiliana nami ANIPM

Nimeambatanisha mojawapo ya huduma zangu angalia attachment hy;
paperclip.png
<img width="16" height="16" src="template/JamiV1/default/misc/paperclip.png" class="inlineimg" alt="Attached Thumbnails" /> Attached Thumbnails
attachment.php
 
napatikana dar zaidi ila ukinitaka nakuja hata hapo lulipo yaani mkoa wako kwa dau pekee ila huduma zangu natoa bei nafuu sana kama uko tayari nipm na chukua contact zangu nimeziattach hapo kwenye tangazo langu.
karibu sana
Unapatikana wapi sasa? Dar peke yake au hata mikoani?
 
Thanks ila kazi hizo ni nyingi mno quality assurance. ....!! Biashara inanoga ukiwa na speciality.
 
hizo kazi zote zinafanywa kwa mpangiilio na hakuna hata moja inakosa nafasi yake hivyo kama unataka kufanyiwa huduma hzo wewe nipm tu tutawasiliana kwani ninao wafanyakazi ambao tuko kwa kampuni moja tukisaidiana na kufanya hizo huduma zote hapo juu nadhani umenielewa vyema
Thanks ila kazi hizo ni nyingi mno quality assurance. ....!! Biashara inanoga ukiwa na speciality.
 
Habari wandugu

Mimi ni mtaalamu wa mambo mbalimbali ninatafuta tenda za kupamba katika kumbi mbalimbali za sherehe, au shughulli kama vile mikutanoni, misibani, na shughuli yoyote, ni mtaalamu wa kutengeneza kadi mbalimbali za harusi, iwe kitchen party, sendoff, harusi, misiba na mtengenezaji wa Tshirt mbalimbali ziwe za maofisini, sehemu za promotion, na sehemu mbalimbali kwenye mikutano, ya kiofisi, kibiashara n.k, na vilevile ni mtengenezaji wa keki za harusi , birthday, kitchen, sendoff, na kadhalika.

Kama unahitaji kufanyiwa huduma hizi kwangu na uwe serious kwa jambo hili, basi usisite kuwasiliana nami kupitia hizi contact zangu hapa chini:-
Email:nikprintgraphics@yahoo.c
om, simu no. 0784960517

Back
Top Bottom