Tenda za uagizaji Sukari, Ujenzi wa barabara Moroco-Mwenge na ile ya Mwanza, zilitangazwa lini?

iparamasa

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
13,437
14,924
Nauliza wajuzi wa mambo ya serikali ili baadae mkaguzi wa mahesabu asije kutuletea taarifa ya richmond tena, je hizi tends zilitangazwa lini?

Walishindanishwa nani na nani? Lini? walioshinda ni akina nani na kwa nini walishinda? kwa utofauti upi?

sheria zilifatwa?
 
Tenda si lazima itangazwe hasa katika mambo ambayo huhitaji uharaka kama hayo.kuna aina ya tenda ambayo mkandarasi m1 au wawili huchaguliwa na kushindanishwa ( selective tendering) kwa mfano yanapotokea majanga ya kuharibu miundombinu ya Barabara ikasababisha Barabara isipitike huwa hakuna haja ya kutangaza tenda kwa madhumuni ya kusave muda.
Kwa serikali hii ya JPM yenye spidi ya Jet tutashuhudia tenda kama hizo kibao
 
Kumbuka kampuni uliyopewa kazi ya mwenge-morocco Ina uhusiano Wa karibu na ccm, hâta majengo ya uvccm morogoro rd wamejenga Wao
 
Back
Top Bottom