Tenda ya ujenzi wa barabara kuanzia Ubungo hadi Mlandizi ilishatangazwa?

zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
7,118
7,701
Nataka kufahamu kama tenda ya ujenzi wa barabara sita kuanzia ubungo interchange hadi mlandizi je imetangazwa kama mh Rais alivyo amuru?

Naomba tufahamishwe kinacho endelea kwani hii ni fursa nzuri ya kujikwamua kiuchumi, mradi huu ni mkubwa sana kwa jiji la DSM.

Wizara husika au mwenye taarifa tafadhali atufahamishe. Asante.
 
Back
Top Bottom