<br />kwa wale wenye decoder za ting AAL-003 tp 11747 h iko wazi.Enjoy b4 it last
<br />nackiaga 2 iyo steshen inaonyeshaga epl. Je iyo mech wali onyesha kwl? Kwa walio ona? Na ina onyesha mech zote za epl? Au once a week?
<br />duuh kwl? Ebana eeh hii dili sasa mie nainasa kwa dstv lakini kutumia reciever ya fta nliona önline kuwa inaonyesha lakn pia ni ya kulipia ata uku kwny iyo reciever nygn kuna alarma ya dollar bt inaonyesha. Lets hope itakaa na kuwa hvyo as long as it takes wknd ijao nitachk apo. Vp commentry ni englsh? Wana kamata moja kwa moja au wanaonyesha pitia chnl flan?
dielctric plate ndo ikoje hyo? hapo hamna biss key?Leo Spurs vs Manu saa 9
alasiri kupitia irib tv3 inter vs sampdoria saa 11 jioni kupitia
vazeshi.Chelsea vs Southampton saa 1jioni kupitia vazeshi, manc vs
swansea saa 1jioni kupitia tv3. Liver vs Hull saa 11 jioni kupitia
tv3. Unahitaji kuwa na ungo wa pf wa ft6 lnb ya cband iliyowekwa
dielctric plate.ungo uelekee magharibi na uangalie karibuni juu
kukaribia nyuzi 90. Unahitaji pia rcva ya dvb-s2 mpeg4.Tumia fr 4054 pol
R sr 27500. Ukipata signo iblsaindscan kupata irib package kupitia
Arabsat 5C @20 degree East
Dielectric plate ni kile kisabuni kinachowekwa ndani ya lnb. Aidha unahitaji rcva inayoweza kuedit biss keys
kuna tv channel kwenye package ya dstv inayoitwa MADIBA ambayo inaonyesha profiles za mzee wa Africa Nelson M. Mandela. Iko fta just scan ur decoder
tena kesho ndani ya irib
varzesh arabsat 5 20deg east. mechi za manu,
arsenal na manc vs lpool zitaonekana live kuanzia saa 9:45
alasili.
Samahani mkuu,tafadhali nielekeze jinsi ya kuiendea hiyo Arabsat kutokea intelsat 906 kwa 6ft dish na single solution lnb. tafadhali