Tempolary job

Gsana

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
4,383
1,321
Natafuta kazi ya mda mimi ni msichana niliyeitimu kidato cha sita na nilipata division two nina umri wa miaka 23 natafuta kazi yoyote as a temple.Nitafurahi kupata nafasi
 
Natafuta kazi ya mda mimi ni msichana niliyeitimu kidato cha sita na nilipata division two nina umri wa miaka 23 natafuta kazi yoyote as a temple.Nitafurahi kupata nafasi

Unatafuta kazi ya aina gani uiwezayo,maana kuna u housegirl au kupaka rangi.
unapatikana mkoa gani.
 
ulimaliza 4m six na div 2,mwaka gani?ka ni mwaka huu mbona muda wa kwenda chuo umekaribia ulikua wapy kuatfuta enzi hzo......................pana uwalakini hapa,haya kila la kheeri ila usihonge ile kitu
 
Mh, Ulikuwa wapi kuomba chuo? !!!! Mbona div2 ungepata chuo!!!! Kazi gani unataka?
 
ni pm nikupe mchongo wa kuja huku mbele..umesoma masomo gani..dini ..upo mkoa gani? if not dsm una ndugu dsm..etc..kama upo serious lakini
 
Shule za kata mbona nyingi dada au hyo div 2 ulifanyiwa, huwezi toa lecture? Kama unaweza tuwasiliane mara moja.
 
jamani kama m2 yupo serious mcmudic msaidieni kwani yawezekana hana taarifa yeyote na sio kumpa majibu mabaya kwani kazi kujuana nowdayz ok.lakini huu mtizamo wangu .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom