Template ya kuombea fedha za kufunza umuhimu wa katiba mpya

oyoyoo

Member
Dec 22, 2010
55
2
Waungwana naamini magreti sinka mtanisaidia namna nzuri ya kuandika proposal ya civic education on Tanzanian new constitution enactment. Kuna jamaa kanambia wengi wameshakula mchongo huu na sasa na mimi nikiwaisha proposal yangu ataiingiza. Jamaa anafanya UNDP na ana rafiki zake wako EU ambao wote wanasema wana fungu la kazi hii. Wazee kama mjuavyo uchumi ulivyo mgumu kwa sasa nazani hii ni fursa ya mimi kutoka kwa hiyo nisaidieni template ili niwahi nami kuomba fursa hii. Sitataja source kwa kuwa hili ni ombi na nategemea msaada wa magreti sinka wa hapa JF.
 
Hii kitu nilikuwa naiwazia sana mdao Oyo NIPE mchongo nitasaidia template maana ziko kwenye google ama twaweza wasiliana na jamaa zetu wa kenya
 
Mhhhhhhhhhhh, hapa naaanza kunusa harufu ya Katiba kuibwa na mafisadi! Mhhhhhhhhh, nitarejea kuona muendelezo
 
Back
Top Bottom