Kama member wa JF tunaamini u are a medieval thinker. sasa unapoleta thread ambayo haina kihwa wala miguu, unafanya tukutilie shaka. Eleza pamechafukaje, lini, na kwanini.?
Hivi Tanzania ni hadi tupigane hata kupata haki zetu ambazo tunapaswa kupata kidemockrasia. Hayo mabomu na kamata kamata za raia wema wanodai haki yao ya msingi na polisi ina ashiria nini? Kwanini hawatangazi matokeo, ndo kuchakachua kunaendelea? Lakini hatuhitaji kuogopa tunapodai haki zetu za msingi kama uongozi bora
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.