Temeke imekuwa sehemu ya kutupa magari mabovu, gereji na uchafuzi wa mazingira?

ZINDAGI

JF-Expert Member
Dec 5, 2015
1,117
1,424
Sasa hivi Temeke ndio imekua sehemu ya kutupia magari mbovu.
Garage na scrapper kila mtaa, mitaa yote imeharibika.

Sasa hivi Temeke ndio imekua sehemu ya kupaki malori makubwa na size ya kati, hawa madereva kwa sababu hawaishi maeneo haya, bawaonyeshi kujali hata kidogo
_ Mwenye kumwaga Oil barabarani
_ Mwenye kutengengeneza matairi
_ Mwenye kushusha na kupakia mizigo

Yoote tisa kumi, haya malori yanaoakia zaidi ya tani 30, hivuo barabara zimeharibiwa na wao hawajali

Imefika wakati sasa, hili nalo lipatiwe dawa, Temeke irudi ktk hali yake kama zamani.
 
Msiwasumbue wafanyabiashara mtaua uchumi!
 
Kweli kabisa...nenda Mitaa ya Mkumba, ngeta, njinjo au liganga....yani watoto hawana kabisa sehemu za kuchezea.

Magari mabovu, skrepa na kila aina ya uchafu utokanao na gari utaukuta nje ya Nyumba....nyumba karibia zote wamegeuza vyumba vya barabarani kuwa stoo za wauza spea za magari mabovu, vyumba vya uani ni Stoo, mionekano ya mitaa imeharibika!
 
Unaelewa maana ya shughuli za kiuchumi?

Mimi nyumba ninayokaa ipo Tabata tena barabarani, masaa 24 bodaboda na magari yanapita dirishani kwangu.

Hili ni jiji linalochangia 80% ya mapato ya taifa zima. Acha watu wafanye kazi.
 
Upo sahihi unachosema, lakini lazima kuwe na plan ya kufanya hayo mambo, nchi zingine pia majiji yanachangia uchumi kwa asilimia kubwa lakini hukuti uchafu kama hivi.
Sasa hivi watoto wanakosa haki zao za msingi za kupata za kucheza zote zumegeuzwa garage.
 
Temeke ipi jamani, si tulikubaliana kwamba sisi huku temeke ni wale3 wenye ndoto za kwenda Mamtoni tu
 
Kweli kabisa...nenda Mitaa ya Mkumba, ngeta, njinjo au liganga....yani watoto hawana kabisa sehemu za kuchezea.

Magari mabovu, skrepa na kila aina ya uchafu utokanao na gari utaukuta nje ya Nyumba....nyumba karibia zote wamegeuza vyumba vya barabarani kuwa stoo za wauza spea za magari mabovu, vyumba vya uani ni Stoo, mionekano ya mitaa imeharibika!
Iyo mitaa uliyotaja ndio wapi? Inabidi nipatembelee na renjii langu
 
Mara ya mwisho kufika temeke mwembe yanga ilikuwa mwaka 2006. Vipi kuna mabadiliko yeyote?
 
Unaelewa maana ya shughuli za kiuchumi?

Mimi nyumba ninayokaa ipo Tabata tena barabarani, masaa 24 bodaboda na magari yanapita dirishani kwangu.

Hili ni jiji linalochangia 80% ya mapato ya taifa zima. Acha watu wafanye kazi.
Wewe wewe acha kutudanganya 80% unaijua wewe?? Unaropoka ropoka tu Kama mwenda zake
 
Back
Top Bottom