Ilulu
Senior Member
- Mar 22, 2008
- 161
- 31
Wanajamii
Ndugu yangu aliyekuwa katika kituo cha Community Centre Nzega mjini amekutana na kundi la wazee wawakilishi wa TEMCO wakiwa na mafulana yao meupe ya utambulisho wa TEMCO.
TEMCO si walikataliwa na Vyama vya siasa? Nani kawaruhusu kuendelea na zoezi la uangalizi?