UMASIKINI BWANA
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 942
- 566
Wadau Nimeona Clip Moja Ya Ndoa Za Kihindi Bi Harusi Na Bwana Harusi Wamepanda Mgongoni Mwa Tembo Vp Hawa Wa Kwetu Tunaweza Fanya Hivyo?
Ng'ombe wa India kwann hawaliwi.... ila wa hapa bongo wanaliwaWadau Nimeona Clip Moja Ya Ndoa Za Kihindi Bi Harusi Na Bwana Harusi Wamepanda Mgongoni Mwa Tembo Vp Hawa Wa Kwetu Tunaweza Fanya Hivyo?
Ng'ombe wa India kwann hawaliwi.... ila wa hapa bongo wanaliwa
Nipe jibu hapa kisha ntakujibu swali lako
Tembo wanakuja kacholi wataachwa kupandwapandwa hovyo
India hata nyati wanatumika kulima mashambani wakikokota plau za kulimia hapa kwetu ulikutana na nyati lazima ukimbie na kujisaidia haja kubwa. Tembo india kwao huwatumia Kama punda waweza kuta wanakokota mzigo wa tofali karibu lori zima wanapeleka eneo la ujenzi toka kwenye eneo la matanuru. Wahindi unaweza kutana naye anaswaga nyati kama mia na tembo Kibao Kama mifugo ya kawaida.Wadau Nimeona Clip Moja Ya Ndoa Za Kihindi Bi Harusi Na Bwana Harusi Wamepanda Mgongoni Mwa Tembo Vp Hawa Wa Kwetu Tunaweza Fanya Hivyo?