Robidinyo
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 3,733
- 7,670
Wasafi media wamekuja na Kampeni ya Kutoa zawadi ya Gari aina ya Altezza Kupitia kipindi cha The Switch
Nilichoona ni Kua Lil Ommy kakosa ushawishi Kwenye kipindi Inaonekana kipindi kina wasikilizaji wachache Wameona waje na Zawadi ya gari ili kushawishi raia wakifuatilie na waifatilie zaidi wasafi radio
Wasikilizaji wengi wa Lil Ommy walikua wakimfuatilia Zaidi kupitia youtube Chanel yake, na walikua wakiangalia interview tu, Kumpa Ommy aongoze kipindi cha masaa 3 ni mtihani mkubwa, Jamaa kule Times ilikua ni kupiga mziki na interview ubunifu ziro
Tatizo zawadi za namna hii huwa ni za michongo zaidi yaani washindi uwa wanapangwa mapema..