Television za majirani kuna nini?

Jungumawe

JF-Expert Member
May 2, 2009
245
74
Mara nyingi naangalie Tv za majirani ie NTV,CITIZEN, KBC UBC etc mbona wao hawana habari za kitanzania kama sisi unavyojikomba kwao tuna matatizo gani? I hate this au nyie mnaona ni sawa, mimi ndiye mwenye tatizo?
 
Sometimes huwa wanaonesha kama kuna suala serious, huku kwetu daily lazima habari zao ziwepo! Hasa ITV...
 
sISI TUMEJAZA SOGA NA ULIMBUKENI MTUPU, HAWANA CHA KUJIFUNZA TOKA KWETU
 
mhh mkubwa saa unataka waonyeshe habari gani za tanzania?
ITV jua ipo uganda pia kwa hivo news zao lazima ziguse uganda manake walipewa frequency kule
kwa ntv au citzen hazina frequency hapa kwetu kwa hivo hawalazimiki kurusha habari za kwetu kama sio sensitive.
sio kila habari ni habari.
 
Sometimes huwa wanaonesha kama kuna suala serious, huku kwetu daily lazima habari zao ziwepo! Hasa ITV...
ni kweli, kwa mfano walicover vizuri mabomu ya mbagala. Kibiashara kuna advantage zaidi kwetu ! Huitaji kuwa na
hasira !
 
Mbona itv huwa wanajiunga na bbc au skynews hushangai kenya wametuzidi mbali kimaendeleo ni kama kuonesha habari za ulaya tu kaka.
 
Back
Top Bottom