Television ya Taifa,TBC, Imetisha!. Yarusha Live Mbili Kwa Wakati Mmoja! Live ya Dodoma on TBC1 At the Same Time Live ya Arusha TBC2- Safari Channel

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
42,021
2,000
Wanabodi
Kwanza wale wenye access, Watch, TBC 1 na TBC 2...shuhudia...!.

Kwa watu wasiojua what it takes kurusha matangazo ya TV live mubashara kutoka sehemu mbili tofauti kwa wakati mmoja, mnaweza msielewe, hapa ninashangaa nini!.

Kiukweli kituo cha Television ya Taifa, TBC, kimetisha!. Kitendo cha kurusha matangazo ya moja kwa moja, Live Mubashara kutoka maeneo mawili tofauti kwa wakati mmoja, sio jambo dogo!. Hongera sana Dr. Ayub Rioba na timu yako.

Live moja ni kutokea jijini ya Dodoma kwenye maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Posta Duniani, live hiyo iko live on TBC1. Wakati huo huo, yaani at the same time, kuna Live ya pili ikitokea Arusha, kwenye uzinduzi wa maonyesho ya Utalii ya Africa Mashariki ambayo iko TBC2- maarufu Safari Channel.

Matangazo ya moja kwa moja ya Redio au TV yanaitwa OB, au Outside Broadcasting.

Ili kituo cha TV kiweze kurusha live, lazima uwe na dude kama hili.
View attachment 1969159
Hilo dubwana, lione tuu kwa nje kama lori tuu, humo ndani shughuli yake sio mchezo!.
View attachment 1969177

Hii inamaanisha sasa TBC inayo hii midude zaidi ya moja.

Leo ndio mara yangu ya kwanza kushuhudia live mbili concurrently zikirushwa na kituo kimoja cha TV. Kwa nchini Tanzania, ukiondoa live za DSTV, na zile za Azam, TBC ndio imefungua pazia la live mbili kwa wakati mmoja. Huu ni uthibitisho TBC ndio TV kiongozi nchini Tanzania.
Hongera sana TBC.

TBC Baba Lao.

Paskali
Leo pia TBC imetisha tena!, Imemfanyia birthday party rais Mama Samia live kwenye kipindi cha jambo!.
This is the first time in Tanzania kitu kama hiki kufanyika, big up Dr. Ayub Rioba, big up TBC!.
Nami nijiunge na Watanzania wenzangu kumtakia Happy Birthday President Mama Samia Suluhu Hassan.
P
 
Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,045
2,000
Leo pia TBC imetisha tens!, Imemfanyia birthday party rais Mama Samia live kwenye kipindi cha jambo.

This is the first time in Tanzania kitu kama hiki kufanyika, big up Dr. Ayub Rioba, big up TBC!.

Nami nijiunge na Watanzania wenzangu kumtakia Happy Birthday President Mama Samia Suluhu Hassan.
P
Mbinguni utapaskia tuu buraza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KeyserSoze

JF-Expert Member
Feb 26, 2014
7,400
2,000
Leo pia TBC imetisha tens!, Imemfanyia birthday party rais Mama Samia live kwenye kipindi cha jambo.

This is the first time in Tanzania kitu kama hiki kufanyika, big up Dr. Ayub Rioba, big up TBC!.

Nami nijiunge na Watanzania wenzangu kumtakia Happy Birthday President Mama Samia Suluhu Hassan.
P
Na hio ndio kazi ya ruzuku wanazopata ili kulitumikia Taifa ?

Kweli wametisha.....
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom