Television na matatizo

fr3

Senior Member
Oct 17, 2012
103
17
Habari zenu wana jf, Mimi ninamfanyakazi wa ndani au (mdada wa nyumbani) ninapokua sipo nyumbani namwachia uhuru, ivyo anaacheki move atakavyo tatizo ni pale anapoangalia move za kuhuzunisha(story) analia sana,naikitokea nimefika na kugonga mlango,anajikuta akipiga yowe(uwiiiiiiiiiiiii) naombeni ushauri nimsaidieje.
 
Huyo amepitia maisha ya mateso sn, aidha ni yatima.
Ushauri, mtie moyo, umpe mshahara wake on time, usikate mshahara akivunja glass, ukipata nafac fanya mtoko na familia yote including yeye.
 
Jamani hebu tuwekee picha ili thread yako iweze kusadifu jukwaa hili adhimu na mwanana la LIVE BILA CHENGA

unamaana huoni picha wewe? au ulitaka aweke picha ya avata angalia vizuri katikati ya mistari utaona piacha
 
Atakuwa anapenda pilau aka X ila tatizo unambania. Jaribu kumwekea moja uone atakavyotulia.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Huyo amepitia maisha ya mateso sn, aidha ni yatima.
Ushauri, mtie moyo, umpe mshahara wake on time, usikate mshahara akivunja glass, ukipata nafac fanya mtoko na familia yote including yeye.

Zingatia ushauri huo wa mtakatifu PakaJimmy.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom