Telegram nini kinaendelea?

Status
Not open for further replies.
Ni hivi nimedownload app ya telegram sasa huko nimekutana na links wanazoshea ni za magroup na sikujua ni ya nini

Japo mengine wanasema ni ya movies nk ila baada ya kujiunga nilichokutana nacho ni balaa

Hapa nawaza sijui app yenyewe niifute duh ni zaidi ya hatari
Si uyafute?
 
Dah!!
It's official wewe ni mjinga.....
Nini kipya kwenye social app mpka ushangazwe sana,
Acha kujaza server kwa thread zisizokua na mantiki kama hii
Labda kweli mimi mjinga.....ila kama mambo haya yanayoendelea wewe binafsi hayakushangazi,acha niendelee kuwa mjinga tu🤝🤝🤝
 
Jina la group?

Back
Top Bottom