Telegram ni bora kushinda Whatsapp Mara kumi

sijaona ikizungumziwa VOICE call quality na utumiaji wa internet especially katika 2G connectivity. Ni vyema ukiongelea whatsapp na telegram pia usisahau Viber.
 
Habari wanajamvi?
Kwa wale wanaojua kuumiza mioyo ya wenzi wao yaani wanaokua na pulling ya kua na wenzi zaidi ya mmoja na ukataka usishikwe ugoni hasa mamesehi au calls...
Telegram ni booonge moja la app litakalokufanya utunze heshime yako maana ina siri sana kuliko whatsapp na zinginezo..
Umetishaaaa
 
unaongelea nadharia au maandiko yao tu.kama wewe ni mtumiaji wa telegram unajua kuwa huo ni uongo wa mchana.kama unatumia android fanya hivi -nenda file managera>mobile storage>telegram>telegram images/audio/video/documents yamejaa katika simu. walichofanya ni kubadilisha tu mfumo.
anachomaanisha ni, mi niliibiwa cm na nikapata cm nyingne, nikanstall upya telegram... vitu vyng vyote vya telegram vikarud... na sikua na backup yoyote... ni issue ya kudwnload tena tuu....fanya hvyo kwa whatsapp
 
anachomaanisha ni, mi niliibiwa cm na nikapata cm nyingne, nikanstall upya telegram... vitu vyng vyote vya telegram vikarud... na sikua na backup yoyote... ni issue ya kudwnload tena tuu....fanya hvyo kwa whatsapp
Hahahaha mkuu naona mahaba yamekuzidi kwenye telegram..... umesahau WhatsApp pia ina back up restore itarudisha kila kitu hata utumie simu nyingine ukiwa unafanya installation kuna phase itakutaka ufanye back up restore....
 
Daa huu uzi umenifumbua macho manake sasa napata kila kitu nilichokuwa nakitaka movies, series, music nilikuwa naangaika na magroup ya whatsapp kumbe hayana maana Telegram noma sana
 
Mimi naipenda zaidi WhatsApp kwakuwa nimezoea interface yake so ni user friendly kwangu, pia naupload/kudownload video/picha kwa speed nzuri nikiwa wasap kuliko telegram
 
telegram ni bora zaidi...kuna telegram channel bako kuna movie na series mbalimbali unapata
 
Naipenda telegram sababu ya channel kibao una download muv na series, music hadi full album, unapata app, Unajua habar za ki technology, na mambo kibaoo...... Usur wa whatsap ni kwamba wabongo weng wanayoo baaaasi ndo sifa kubwa....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom