Telbox Tanzania hii ni ya kweli au ndio nimetapeliwa

uwiiiiiiii

JF-Expert Member
Jul 11, 2016
341
365
745947cbf4789a3fe91f5fd0ccfe8a80.jpg



Habari wakuu! Jamani naombeni kuuliza telbox Tanzania ni ya kweli nimetuma pesa toka asubuhi hadi muda huu sioni code wala msg kutoka kwa hawa watu, naomba msaada km kuna mtu aliwahi kuitumia plz.
 
Hesabu maumivu. Yaan maisha yenyewe ni stress tosha unataka ufuatilie mawasiliano ya mtu nae akuongezew stress?

Hakuna cha code hapo ushaliwa
 
Upo mkoani gani mwenzetu unaibiwa kijinga hivi?!


Yani huyo mwanaume kakuchanganya mpk unataka kufuatilia simu halaf ukishajua ana michepuko itasaidia nn?!
 
Kwanini hawa watu hawakamatwi na intelejinsia wetu, wananchi wanaendelea kuibiwa kila kukicha, ni muda mrefu sasa wanaendelea kuwaibia watu.
 
Back
Top Bottom