Telbox Tanzania hii ni ya kweli au ndio nimetapeliwa

Mi app zinazotengenezwa Tz hususani za dizain hii,hua siziamini ht kidogo..sijui ndo kukosa uzalendo huku?
 
f74ca2798f7f138a90c8e39e225a888f.jpg

naambiwa niongeze pesa
 
Dah,watanzania jamn kwann tunasumbka na.mapenz kias hicho,najua lengo unatka kumfuatili mkeo tu si mwingne pole sn mkuu lkn make sure unamumn mkeo
 
Mwizi amemuibia mwizi , jamaaa ametoa pesa kwa mwizi kusudi amuibie mtu mawasiliano yake, ni kosa la jinai
 
745947cbf4789a3fe91f5fd0ccfe8a80.jpg



Habari wakuu! Jamani naombeni kuuliza telbox Tanzania ni ya kweli nimetuma pesa toka asubuhi hadi muda huu sioni code wala msg kutoka kwa hawa watu, naomba msaada km kuna mtu aliwahi kuitumia plz.
Tayariiiiii
 
Back
Top Bottom