Teku kwawaka moto leo si vurugu hizo

wagagagigikoko

Senior Member
Dec 5, 2010
163
49
Wanachuo wa chuo cha teku leo wamegoma kuingia darasani kufuatiwa serikali ya ccm kuwanyima mikopo. Hali ni mbaya fimbo zinatembea kama masihara vile.
 
Mmeshaanza eeeh mkimaliza mnahamia kwene umeme na Dowans mtatukuta huko, sie tunatangulia
 
Teku __teofilo kisanji university kinapatikana blockq mbeya karibu na uwanja wa ndege mbeya,aidha waliokuwa wanatembeza bakola niwanafunzi wakiwachapa wale waliokuwa wasusia mgomohuo
 
Back
Top Bottom