wagagagigikoko
Senior Member
- Dec 5, 2010
- 163
- 49
Wanachuo wa chuo cha teku leo wamegoma kuingia darasani kufuatiwa serikali ya ccm kuwanyima mikopo. Hali ni mbaya fimbo zinatembea kama masihara vile.

Lo! mke wangu amepona kweli hizo fimbo......!
Mmm tuma nauli arudi tuu usichelewe atarudi ana michiriz ya fimbo.