Teku kwawaka moto leo si vurugu hizo

wagagagigikoko

Senior Member
Dec 5, 2010
163
0
Wanachuo wa chuo cha teku leo wamegoma kuingia darasani kufuatiwa serikali ya ccm kuwanyima mikopo. Hali ni mbaya fimbo zinatembea kama masihara vile.
 

Elli Mshana

Verified Member
Mar 17, 2008
40,080
2,000
Mmeshaanza eeeh mkimaliza mnahamia kwene umeme na Dowans mtatukuta huko, sie tunatangulia
 

Wabogojo

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
355
195
Wanachuo wa chuo cha teku leo wamegoma kuingia darasani kufuatiwa serikali ya ccm kuwanyima mikopo. Hali ni mbaya fimbo zinatembea kama masihara vile.Hao wanofanya hizo vurugu waliripoti vipi chuoni kama walinyimwa mikopo?
 

wagagagigikoko

Senior Member
Dec 5, 2010
163
0
Teku __teofilo kisanji university kinapatikana blockq mbeya karibu na uwanja wa ndege mbeya,aidha waliokuwa wanatembeza bakola niwanafunzi wakiwachapa wale waliokuwa wasusia mgomohuo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom