Teknolojia yetu wenyewe watanzania.....ipi hiyo? KUMBE hatuko nyuma. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Teknolojia yetu wenyewe watanzania.....ipi hiyo? KUMBE hatuko nyuma.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by agala, Sep 17, 2011.

 1. agala

  agala Member

  #1
  Sep 17, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kumbe watanzania nasisi tupo imegundulika hiv karibuni imezinduliwa system inayowaunganisha website(watangazaji) na watangaziwaji

  ambayo imerahisisha mzunguko kati yao na imetengenezwa na watanzania wenyewe ambayo ni JigambeAds hebu itembeleeni.
   
 2. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Aisee kazi nzuri lakini je ndio umeshamaliza???????
  Nakushari badilisha backround colur maana naona content inamezwa na kufifia hivyo haionekani vizuri sababu inafana fanana na background au rangi ya body tag.
   
 3. Mr.Toyo

  Mr.Toyo JF-Expert Member

  #3
  Sep 17, 2011
  Joined: Feb 9, 2007
  Messages: 433
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hiyo background inaumiza macho, but the rest is ok on my side.
   
 4. agala

  agala Member

  #4
  Sep 17, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndio imeshaisha lakini zing bigup kwakunipa hio challenge nitaifanyia kazi mkuu sio mbaya.
   
 5. agala

  agala Member

  #5
  Sep 17, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nitaifanyia kazi mr.toyo ni lakini ni system nzuri sana hiyo.
   
 6. mdeesingano

  mdeesingano Member

  #6
  Sep 17, 2011
  Joined: Aug 12, 2008
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ya kiTz kwa waTz
   
 7. mdeesingano

  mdeesingano Member

  #7
  Sep 17, 2011
  Joined: Aug 12, 2008
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Napanda hapo ambapo inapokua inahusiana na watanzania tu na hapo inapomuwezesha yeyote ku-weka tangazo tena kwa bei rahisi kabisa!
   
 8. agala

  agala Member

  #8
  Sep 17, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndio mdee hii ni ya sisi watanzani wenyewe ni sehemu yetu ya kujivunia kinachotakiwa ni support tuu..!
   
 9. jumbo-solar

  jumbo-solar New Member

  #9
  Sep 21, 2011
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimeipenda hiyo i think it will be our problem solver.
   
Loading...