Teknolojia ya OMR na mazingira ya shule za vijijini. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Teknolojia ya OMR na mazingira ya shule za vijijini.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by kaupwe, Apr 1, 2012.

 1. kaupwe

  kaupwe New Member

  #1
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli utafiti ulifanyika kubaini mazingira halisi ya shule zetu? je tuna madawati ya kutosha na yenye ubora?,nafikiri utafiti wa kina ufanyike juu ya hili,kwani si la kukurupuka.
   
 2. Omonto wa-hene

  Omonto wa-hene Senior Member

  #2
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 179
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  "Optical Marker Reader" ni teknolojia itakayotumika kusahihishamajibu ya Mtihani wa Darasa la VII kuanzia mwaka huu wa 2012, mwanajamvi hajaweka wazi wengi wajue. Ni kweli teknolojia hii haifai katika mazingira ya shule zetu za vijijini kwa sasa, lakini kwa kuwa tayari NECTA wamesharidhia na mipango ishafanywa hatuna budi kukubali. Waswahili husema, 'ushikwapo shikamana' kwa hiyo hata wewe Bw. Kaupwe huna ujanja. Lazima kukubali 'OMR' kwa sasa hata kama shule yenu ya HEKWE au NYAMATARE haina madawati ya kutosha ni kivyenu. Hizi ni zama za SCIENCE & TECHNOLOGY bwana!!!!:A S shade:
   
Loading...