Teknolojia ya Digitali ya Startimes na Ting: Kero za watumiaji

Ufisadi sio lazima uibe mabilioni...hata kutaka kuchakachua startimes ili upate ITV,EATV n.k ni mojawapo ya ufisadi!
hizi chanel zipo free hewani haziuzwi ila startimes ndiyo mafisadi maana walipaswa hizi chanel za free waziingize ufisadi hautafasiliwi kwa namna hii
 
Wakuu naona Gomel amenisaidia kutoa jibu mapema. kama upo nje ya mji wa Dar itakuwa ngumu na pia km unaking'amzi cha mwanzo kabisa nacho sina imani nacho kupata hizo chanel jaribu hapa
Frequency units ni:-

650 kuna channel 8;
682 kuna channel 7;
714 kuna channel 7;
746 kuna channel 6;
778 kuna channel 7.
 
Wakuu natumia Startimes ya zamani zile zilizouzwa enzi za kombe la dunia,nilitumia freq ya 570 na 530 hamna kitu,any one with new ideas?
 
Kuna mdau hapa ametuambia tarehe 20 june wataingiza local chanels zote. Ngoja tusubiri hiyo siku ingawa startimes siwaamini.
 
Ninaiomba kampuni ya star-times irejeshe ving'amuzi vyote vilivyo mikononi mwa watu ili wavirekebishe kwa kuweka chaneli za ITV na Star TV. Kwa nini hamkuziweka?
 
Nadhani watakuwa hawajakubaliana katika maslahi na hizo chaneli ulizotaja, japo TCRA walisema chaneli zote za ndani zinatakiwa ziwepo. Tusubiri.....
 
Ninaiomba kampuni ya star-times irejeshe ving'amuzi vyote vilivyo mikononi mwa watu ili wavirekebishe kwa kuweka chaneli za ITV na Star TV. Kwa nini hamkuziweka?
Inawezejana hawajakubaliana. hata hivyo huitaji kurudisha king'amuzi ili waongeze channel nyingine wanaziongeza kwenye mitambo yao.
 
Ni choice ya mtu jamani kwani kabla ya kununua unapaswa kufahamu unachonunua. Kama unapenda ITV na Star TV kanunue EASY TV au TING
 
Back
Top Bottom