Teknolojia gani kubwa ungependa itokee duniani

Technological Singularity ...hizi ni system zenye uwezo mkubwa wa kufikiria kuliko binadamu... Wanatabiri 2050 but natamani iwe hata kesho kwa sababu tunaweza kuzitumia kutatua matatizo makubwa hasa ya kiafya kama vile ugunduzi wa dawa za cancers, viruses nk.
 
yaani hapa mtu akisoma hii thread bas mawazo yanahamia kwa kuwawaza wazungu kuwa waje na hizo new ideas tukiamini sis hatuwez,...
iknow we can sisi wenyewe chamsingi ni kukaza mkanda na kujua kila kitu kinawezekana tukafanya wonders na kutengeneza vitu vyetu wenyewe vya ndani.na kujenga historia tofauti......
tufikili kwa tofauti,..hivi mtu ushawahi hata kuwaza kutengeneza kitu au kubuni kitu cha tofauti ambacho hakipo duniani???????
hapo ndo unapokuja ubunifu na udadisi...binafsi nipo ktk udadisi kubuni kitu ambacho hakipo duniani na hamna mtu aliyewaza kuwepo kwahiko kitu na muda simrefu nkiwa tyr ntakuja hapa jukwwaani kwanza,....
kupata baraka za wadau......
think great
Mifumo yetu ya maisha haswa huku Afrika haitupi nafasi ya kuwa wabunifu mkuu

Wenzetu mfano USA ma genius wanatambuliwa mapema shule za chini au hata mitaani kisha wanapelekwa kwenye vituo maalumu vya utafiti.......hawa maisha yao yote wataishi wakifanya utafiti kwenye vituo hivyo ikiwemo NASA nk na wanalipwa vizuri kweli kweli na kupewa kila kitu anahitaji kukamilisha tatifiti zao
Na hii ipo hata kwenye makampuni binafsi yana pick wanafunzi wale wenye uwezo mkubwa na kuwapa scholarship kisha wanawaajiri kwenye vitengo vyao vya utafiti ndio tunakuja kupata haya tunayo yawish hapa
Utafiti wa kigunduzi ni very very expensive
Yaani huko Apple, Samsung Facebook IBM Huwawei Toyota Boeing nk nk kuna wqjinga wako vitengo vya utafiti jamaa wana akili mingi hadi kufuru na kazi pekee wanayoijua duniani ni kufanya utafiti tu 24/7

Lakini huku kwetu ma genius sana sana watabakishwa kufundisha vyuoni au watakua ma igp, mawaziri, mabalozi na wanasiasa nk nk

Sasa wewe let say ni mtaalamu wa kopyuta umeajiriwa idara ya maji au wizara ya fedha au vodacom au halmashauri utagundua nini wewe kuishangaza dunia jamani?
Halafu utakuta labda mshahara hautoshi, unadaiwa kodi, watoto shule, baba mkwe anaumwa, vikao vya sendoff ya sister bajeti haitoshi, gari yako iko gereji wiki sasa geaboksi imekufa.....hivi utagundua nini mtanzania mwenzangu kuishangaza dunia?
Wenzetu wamegundulika ni ma genius toka wana miaka 10+ na wamepitishwa kwenye program maalum ya masomo na wako kwenye vituo vya utafiti labda sasa anamiaka 70 na bado tafiti yake haijakaa sawa atawaachia na wengine akifa hadi tafiti itakaa sawa

Siamini kwamba tunamatatizo ya uwezo mdogo kiakili isipokua mifumo yetu haituweke kuwa wagunduzi wabunifu wa maajabu
Ugunduzi wa kitafiti ni mchakato mrefu na sio kwamba eti utoke kazini kwako kisha utenge kamuda kako ka ziada kufanya tafiti za kuishangaza dunia

Kwahiyo wala usishangae kuona watu wanataka wazungu ndio wagundue....wapo sawa
 
True mkuu
 
Back
Top Bottom