Teknologia

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Sep 1, 2009
31,272
31,395
Hivi teknologia mbalimbali tulizonazo zinatupunguzia kazi kweli kwa ujumla wake...??? Maana nikijaribu kukumbuka idadi ya PASSWORD ninazotakiwa kuzikumbuka kwa kichwa.........we acha tuuu
1. ATM kadi za benki zote nilizonazo lazima nikumbuke password
2. REFUELLING CARDS za refuelling station zote nilizonazo
3. PC ........... files ndani ya PC......etc
4. CELLPHONE ........ ZAP..........M-PESA........ SECURITY CODES........etc REAWRDS CARDS
5. ............etc
 
Back
Top Bottom