Teknologia ya Mawasiliano Tanzania imekua. Minada itaendeshwa online hivi karibuni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Teknologia ya Mawasiliano Tanzania imekua. Minada itaendeshwa online hivi karibuni

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by robietz, May 14, 2011.

 1. r

  robietz Member

  #1
  May 14, 2011
  Joined: May 14, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi karibuni mabadiliko mengi ya ki teknologia yamekua yakiendelea hapa nchini. Mimi kama mtumiaji wa intaneti nimekua nikifuatilia maendeleo mbali mbali yanayo fanyika kwenye mtandao yani Internet.

  Katika harakati zangu za kubovya bovya nimekutana na tovuti ya mnada www.auctionmart.co.tz ambayo nili search information zake nika gundua ilisha anza mda wa nyuma na sasa inarudi tena kwa muonekano mpya.. Sija bahatika kuona muonekano wake kwani bado siku mbili ifunguliwe tena rasimi.

  Nina subiri sana kwa hamu kuona ni namna gani itakua kwani naona kama Tanzania soon tutakuwa na ebay yetu. Ni maendeleo ambayo nadhani wote tungependa kua nayo

  Nitazidi kuwajulisha wadau Wangu wa Tanzania kuhusu maendeleo mbali mbali nitakayo yaona kwenye mtandao
   
 2. MashaJF

  MashaJF JF-Expert Member

  #2
  May 14, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 248
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  [​IMG] Junior Member [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG]


  Join Date : 14th May 2011
  Posts : 1
  Thanks 0 Thanked 0 Times in 0 Posts

  Rep Power : 0


  Ulijiunga mahsusi kwa ajili ya kutundika hii post!!!!!!
   
 3. r

  robietz Member

  #3
  May 14, 2011
  Joined: May 14, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndiyo mdau nimejiunga leo ili niwe natoa updates kuhusu maendeleo mapya nitakayo kua nikiyaona kwenye mtandao.. Leo na anza na hili kwani limeni furahisha
   
Loading...