Tehama na Kilimo: Fahamu Tehama inavyosaidia Ukuaji Sekta ya Kilimo na Biashara

Softnet

Softnet

Member
Joined
Jul 11, 2019
Messages
29
Points
75
Softnet

Softnet

Member
Joined Jul 11, 2019
29 75
Habari wana JF
Tumependa kutumia uzi huu wa kilimo, ufugaji na uvuvi ili kuhabarisha ni jinsi gani tehama inaweza kumnufaisha mkulima katika harakati zake za kilimo na biashara na kumfanya afanikiwe katika malengo makhsusi aliyojiwekea.

Tehama ni nini? kwa kuwa hakuna maana maalumu ya neno tehama kiujumla nitataja ambayo italeta dhamira japo kila mtu anaweza kuleta maana
ni matumizi ya vifaaa (mfumo) vya mtandao vinavyosaidia watu kuwasiliana au kuunganisha mawasiliano baina yao nje ya ukaribu wao.

Manufaa ya Tehama katika kilimo achilia mbali kuongeza uzalishaji na kuimarisha sekta ya kilimo, bali pia husaidia kuhabarisha na kwenda na wakati kama vile mambo yanayohusu matolea ya mbegu mpya, taarifa ya magonjwa mapya ya mazao, hali ya hewa, soko na bei na gharama na tahadhari kiujumla.

Ndugu msomaji, kwa mazingira yetu ya Tanzania tutajadilia sehemu chache kwa kuzianisha.

Itaendelea......................
 

Forum statistics

Threads 1,343,274
Members 514,998
Posts 32,778,497
Top