Teh teh teh majina haya duh!

elly56

Member
Apr 20, 2012
41
7
Majina mengine banah sio ya
kuwapa wanyama!
Mzee kaenda kwa mtoto
wake kuwa salimia wajukuu
zake kafika akaenda kuoga
mara anasikia mtoto anaita.
mtoto:"thomas ,thomas,
thomas"
mzee: naaam! Mjukuu
wangu!
Mtoto:hapana sio wewe babu
namuita paka wetu!
Mzee:mh!
Baada ya muda babu
akataka atoke kwenda
kuona mazingira nje! Mara
mbwa akatokea
Mtoto:bryton bryton bryton
usimng'ate babuu!
Mzee hoi akarudi ndani
akachukua virago vyake
akasepa,..kumbe
babu
anaitwa "THOMAS BRYTON"
teh! teh! teh!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom