Teh Teh; Kumbe ni Mambo ya 2010!!

Mdau

JF-Expert Member
Mar 29, 2008
1,789
470
kipanya katupatia jibu leo,kumbe muheshimiwa hakua na hasira za kawaida,ni mambo ya 2010............
 

Attachments

  • mheshimiwa.doc
    79.5 KB · Views: 221
AMECHOKA KIAIRI NA KIMWILI, ndo maana ameomba msaada wakusaidiwa kuzungumza na mawakala, maana hata anayoongea ni mambo ya kikatuni-katuni, Ukiona Mheshimiwa hapewi nafasi ya kwanza kwenye media ni ISHARA kua watu wako bored.
 
Kweli mambo sasa yamewiva , hadi october 2010, tutasikia mengi.

Ni kweli.

Kuna mambo ma4 yanayochangia ile hehavior:

1.Presha ya Uchaguzi
2.Malezi mabaya toka utotoni,
3.Vyeo vya hisani,
4.Dharau na U-mungu-mtu
 
Ni kweli.

Kuna mambo ma4 yanayochangia ile hehavior:

1.Presha ya Uchaguzi
2.Malezi mabaya toka utotoni,
3.Vyeo vya hisani,
4.Dharau na U-mungu-mtu

5. Kabila.........(teh teh nataniaaaa tu) namaanisha ushamba wa muhusika!!!
 
kwa kweli nimeshangazwa na jinsi mheshimiwa alivyolewa madaraka mapema hivi! katika article kwenye gazeti la mwananchi anasema... unajua mimi ni nani?....sintomsamehe hadi awajibishwe!

Funzo: natamani ifike siku ambapo wananchi nao watakapo wauliza viongozi...mnajua sisi ni nani? hatuwasamehi kwa madudu yenu mlofanya mkiwa madarakani hivyo mmepoteza sifa za kuwa viongozi na pale inapobidi watupwe "guantanamo".
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom