Tegeta hakuna umeme, je ni mgao au kuna hitilafu?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,898
141,835
Tangu saa 6 mchana na ratiba haijaonyesha kama leo ni siku ya mgao.

Je, kuna tatizo gani?

Maendeleo hayana vyama!
 
Hata mbezi Juu nako hiyo hiyo walikata mida hiyo hiyo mpaka sasa tupo gizani. Taa less company aka Twiga mnyonge(Tanesco) mnaboa Sana. Hasa toka ma rope aingie na Mr. Beans shiiiida mnooo
 
Tuliwaambia mtamkumbuka mkawa mnabisha

Haya sherehekeeni Uhuru wa kujieleza, uhuru wa kuchanjwa, uhuru wa kuvaa barakoa, uhuru wa kuagiz vifaranga kenya n.k
 
Back
Top Bottom