Nibozali
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 572
- 1,055
Bila shaka watanzania tumeshapata picha juu ya wapi tulipoka, tulipo na tunapoelekea. Kwa hakika tumebaki na tegemeo moja tu, bunge LA jamhuri ya Muungano Wa Tanzania. Bunge likituacha basi wore tumekwisha. Si mbunge, so kiongozi siyo nano wote tutakuwa hatarini
Ushauri kwa wabunge wetu.
Tambueni kuwa mkiamua kutokujiondoa ufahamu ninyi ni mhimiri wenye nguvu katika nchi, hivyo chonde chonde walindeni watanzania kwa halo na Mali bila kujali itikadi za kisiasa
Ni hayo tu, mwenye ushauri Wa kuongezea aongezee