Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 2,746
- 11,877
Mkurugenzi Mtendaji wa Montage, Teddy Mapunda amefariki muda mfupi uliyopita baada ya kuugua ghafla wakati akipata futari na wenzake hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam na kukimbizwa hospitali ya Aga Khan.
Machi, 2012, alichaguliwa kuwa mmoja ya wajumbe watano waliounda Bodi ya Wakurugenzi ya Bodi ya Utalii (TTB) akiwa
Mtaalamu wa Masoko (Marketing) na Afisa Uhusiano Serengeti Breweries Limited;
Teddy amewahi kuwa Katibu Mkuu wa kamati iliyoundwa na TFF ya kusaidia Taifa Star Ishinde mwaka 2015 katika Maandalizi ya michezo ya kufuzu Kombe la Dunia
Teddy Mapunda is a Non-Executive Director at British American Tobacco Kenya Ltd since October 2014 and a Member of the Remunerations Committee.Teddy is the founder of Montage Limited, a multi-dimensional consultancy and creative agency based in Dar-es-Salaam, Tanzania. She has over twenty years of leadership experience in public relations, customer service, administration, and sales.
Teddy Mapunda is a graduate of the Swedish Institute of Public Administration and the Ghana Institute of Management and Public Administration.
She is Vice Chairperson for the Road Safety Committee Kinondoni Region, Tanzania, Board Member of Why Africa Now of the USA, TPS Eastern Africa (Serena Hotels), WAMA Foundation and the Arusha International Conference Centre (AICC).