Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 4,722
- 3,164
nahitaji tecno y 6 mpya kabisa ya dukani kwa anaefahamu bei yake au mwenye duka nije kununua kwake nipo dar mimi na hapa nina 140K.msaada wakuu please
unazingua mkuu..kumbe ulitakeje?Yaani tecno y-6 tu ndio uweke bango mkuu!?
Y3 wiki mbili zilizopita nimechukua 95kHiyo laki na arubaini tafuta tecno y3, hata y4 hupati kwa hiyo bei.
Utarudi tu jukwaani kuomba msaada na hyo tecnonahitaji tecno y 6 mpya kabisa ya dukani kwa anaefahamu bei yake au mwenye duka nije kununua kwake nipo dar mimi na hapa nina 140K.msaada wakuu please