SECRET AGENT
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 252
- 488
Wana JF katika kutafuta simu nmekutana na simu mtandaoni kabla ya kwenda dukani kununua nmekutana na hizi mbili, Tecno Spark 2 na Nokia 2.1. Kwa ambao wamewahi kutumia simu hizi hapo au hata kujua ubora na udhaifu wake wanaweza kunijuza ipi ipo vizuri zaidi na ipi nikinunua itanifaa japo kwa upande wa bei hazina utofauti sana maana zote nimeangalia katika tovuti ya Jumia zipo Tshs 240,000