Ni simu poa tu, mi nimeitumia hii simu kama miezi miwili, internet speed ni kubwa pia inajitahidi kukaa na charge.
Ila subiri waje TECNO haters !!
Mie naitumia iko poa sana na ni friendly user, kilakitu almost unapata (applications). Iko fast kutumia na downloads pia.
Ni nzuri kiukweli.
inauzwa sh ngapi hapa bongo hii simu?
Poa sana kamanda nadhan sasa naweza fanya maamuzi, vp nasikia haina tofauti sana na zile galaxy s4
Hahaaa mnafarijianae
Mimi nimeitumia miezi miwili sasa. Iko poa sana. Tatizo moja: nikibonyeza reboot inazima moja kwa moja. Betri nachaji mara mbili kwa masaa 24. Kuna mdau mmoja kasema unasoma screen hata kwenye mwanga mkali, siyo kweli. So far so good for me, except for the reboot problem!!
Phantom A+ ndiyo nayoitumia mimi.aisee INA speed nzuri ya Internet hasa ukiwa na Sim card ya voda na ina mbwembwe zote screen hata kwenye mwanga Jua Kali unasoma msg au kucheki kitu bila kuzibaziba kusaka kivuli.ina mambo mengi sana.nimeangusha hii simu mara 2 kwenye sakafu kwa bahati mbaua lakini haijaharibika.kifupi husibabaike na jina la simu tecno juu sana.
Poa sana kamanda nadhan sasa naweza fanya maamuzi, vp nasikia haina tofauti sana na zile galaxy s4
Huwezi fananisha na s4 ipo juu but tecno inajitahidi kwa kweli.