Tecno Phantom ushauri tafadhali

dudupori

JF-Expert Member
Jan 6, 2012
1,793
1,903
wadau ningependa kujua zaidi kwa mwenye uelewa wa hii simu ya kichina ya tecno phantom A+, hasa kwa ambaye keshaitumia niweze kujua ubora wake.
 
Ni simu poa tu, mi nimeitumia hii simu kama miezi miwili, internet speed ni kubwa pia inajitahidi kukaa na charge.
Ila subiri waje TECNO haters !!
 
Thanx mkuu, ujue hata mie nimeiona kwa jamaa yangu ikanivutia nikapenda nijue zaidi kutoka kwa wadau wengine wanaotumia hii kitu.
 
Mie naitumia iko poa sana na ni friendly user, kilakitu almost unapata (applications). Iko fast kutumia na downloads pia.

Ni nzuri kiukweli.
 
Poa sana kamanda nadhan sasa naweza fanya maamuzi, vp nasikia haina tofauti sana na zile galaxy s4
 
Phantom A+ ndiyo nayoitumia mimi.aisee INA speed nzuri ya Internet hasa ukiwa na Sim card ya voda na ina mbwembwe zote screen hata kwenye mwanga Jua Kali unasoma msg au kucheki kitu bila kuzibaziba kusaka kivuli.ina mambo mengi sana.nimeangusha hii simu mara 2 kwenye sakafu kwa bahati mbaua lakini haijaharibika.kifupi husibabaike na jina la simu tecno juu sana.
 
Mimi nimeitumia miezi miwili sasa. Iko poa sana. Tatizo moja: nikibonyeza reboot inazima moja kwa moja. Betri nachaji mara mbili kwa masaa 24. Kuna mdau mmoja kasema unasoma screen hata kwenye mwanga mkali, siyo kweli. So far so good for me, except for the reboot problem!!
 
Hujui setting
 
Phantom A+ ndiyo nayoitumia mimi.aisee INA speed nzuri ya Internet hasa ukiwa na Sim card ya voda na ina mbwembwe zote screen hata kwenye mwanga Jua Kali unasoma msg au kucheki kitu bila kuzibaziba kusaka kivuli.ina mambo mengi sana.nimeangusha hii simu mara 2 kwenye sakafu kwa bahati mbaua lakini haijaharibika.kifupi husibabaike na jina la simu tecno juu sana.

Heshima mkuu, nakubaliana nawe wengi tunanunua vitu kulingana na majina makubwa.
 
Poa sana kamanda nadhan sasa naweza fanya maamuzi, vp nasikia haina tofauti sana na zile galaxy s4

Kabisa haina tofauti na Galax 4 Mimi naitumia na ndg yangu anayo s4. Tumezicompea kwa kila kitu na ziko droo mkuu!
 
Huwezi fananisha na s4 ipo juu but tecno inajitahidi kwa kweli.

Useme huwezi kuzifananisha kwa bei lakini kwa function ziko droo. Nina uhakika na ninachokisema mwenye kupinga sponge kwa hoja kwa kuorodhesha function ambazo s4 inazo thidi ya phantom A+
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom