mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 30,480
- 36,847
Yah najua wanaiga simu nyengine ambazo ni brand maarufu ila ninachozungumzia ni kwamba hakuna haja ya kununua simu yenye specifications nyingi wakati hauzitumii, ndo mana nashauri watu wanunue simu za bei rahisi kulingana na matumizi yao jinsi yalivyo rahisi
Ukisema hivi hata hao wanazi wa tecno wanaingia kwenye mkumbo huo huo tena.
Maana tofauti ya samsung na tecno au iphone ni quality tu,sio quantity.
Leo hii ukichukua simu ya samsung yenye ram 1 gb itakuwa ni simu ya miaka hata 5 nyuma,lakini itakuwa ni nzuri na bora zaidi ya tecno yenye gb moja ya mwaka huu.