Tecno CA7 ni kiboko ya simu nyingi

We jamaa niaje, sasa sindo nmekujibu kuna midrange bei around na hyo tecno and still zmekalisha hiko kimeo

Habari commision zimetokea wapi ? Wakiume ww ujue
Wewe wa kike ndio hueleweki, maana nilidhani unalinganisha kwa manufaa ya tusiofahamu kumbe una akili za uke wenza, maana sasa umeiita kimeo, mara mid range na bei around, lakini sijaona bei zenyewe zaidi ya maneno ya shombo.

Hebu niwaache na ligi zenu yawezekana mna wadhamini
 
We jamaa kavu sana,,nimeita hiyo tecno midrange?

Unataka bei,nimekwambia kaangalie midrange hata za xiaomi tu kisha fananisha na hiko kimeo juu hapo

Kwanza ni mara mia kununua note 5 ambayo ni refurbished bei yake ni ndogo kushinda hiyo tecno

Endelea kusubr price uwekewe

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Hujui Simu mkuu! Omba ushauri kwanza.
Mnashindwa kuelewa,sio kwamba sijaona huawei,samsung s na note series,iphone,lg etc ila kwa uwezo wa tecno hiyo simu imejitahidi kama ushawahi kutumia simu hizo nilizozitaja,haijaachwa mbali sana kwa kuzugia...simu nazifahamu pengine kushinda wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafikir wew umeunganisha kipato chako na uelewa wako ndy mana umekwama kweny tecno
 
Ila hiyo kwenye dp si tecno camon 11 pro!?,ambayo inafanana sana na huawei p20 machine ya level nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo avatar ni Redmi Note 7, usifaninishe na Camon 11.
IMG-20190222-WA0006.jpeg
IMG-20190316-WA0015.jpeg
 
Attachments

  • D1Ox726XcAEIWq4.jpeg
    D1Ox726XcAEIWq4.jpeg
    17.5 KB · Views: 19
Nakupa mfano: mara ya mwisho nimenunua hii,... Redmi Note 7 4GB 64GB 48MP Cameras Snapdragon 660 Octa Core 6.3'' FHD+ QC 4.0 4000mAh Battery
TZS 479821.56
Sasa angalia ni jinsi gani hiyo Camon X Pro ilivyo ghali
hapo hiyo redmi imepitwa battery tu maana hiyo ca7 ni 5000mah,, hiyo redmi inapatikana bongo?
 
Kuna hii kitu inaitwa tecno ca7 imesimama balaa,mwanzo nilikuwa nawaza kununua note 5 nilipokutana nayo aisee imenipunguzia mambo mengi sana,kuanzia gharama kwa huku imesimama laki tano na 30,ina ram 3gb,rom 32gb,camera 20mp inakaa na chaji kwa watumiaji wenye fujo....very nice phone ever,nakushauri kamauna uhitaji wa simu na unahela nunua hiyo simu,hautajutia....

Sent using Jamii Forums mobile app
TEKINO

hata mimi nimeikubali sana...camon 11 lazima niiipate nauza samsung yangu j5 ninunue tecno camon 11

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom