Tecno CA7 ni kiboko ya simu nyingi

Daaaah tumeingiwa na nn an mtu yuko tayar kushindanisha tecno midrange na 2015 samsung flasgship
Mkuuu karbu katka ulmwengu wa qhd resolution aisee
20 megapixel af sensor ya kipuuz tu
Unaishi ulimwengu ambao hujui 4K n nn mpk leo 2019
Ha ha ha ha ha ha ah ah
Mpk nakuonea huruma
Polee lakn hope hukujuaaa uwe unaulza
Tatzo watanzaniaa ukihisi unaweza kukiafford kitu bas unahisi unakijuaa vizur kumbe hapana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi kuhusu galaxy A8+ 2018 ni nzuri?

KOKUTONA,... Hapa nakusahauri chukua moja kati ya ya hizi: A30 na A50
IMG-20190409-WA0000.jpeg
 
Daaaah tumeingiwa na nn an mtu yuko tayar kushindanisha tecno midrange na 2015 samsung flasgship
Mkuuu karbu katka ulmwengu wa qhd resolution aisee
20 megapixel af sensor ya kipuuz tu
Unaishi ulimwengu ambao hujui 4K n nn mpk leo 2019
Ha ha ha ha ha ha ah ah
Mpk nakuonea huruma
Polee lakn hope hukujuaaa uwe unaulza
Tatzo watanzaniaa ukihisi unaweza kukiafford kitu bas unahisi unakijuaa vizur kumbe hapana

Sent using Jamii Forums mobile app
Boss tatizo la watanzania tunapenda kuwa na majibu yote,asaa una uhakika sijui 4k mzee hapa nilizungumzia bei rahisi ukilinganisha na simu inaweza fanya,mzee tv nayotumia ni smart yenye pure 4k,na nimeitumia muda mrefu....hapa ilikuwa ni urahisi na kuzingatia ubora wake ila sio kulinganisha na zenye majina.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom