Tecno siku hizi kuna copy zake,be awareDukani Mpya C8 kwa sasa unaipata kwa 280.000 tu . Hiyo bei sio HALISI kwa simu hiyo.
Aina maslahi mkuu simu bado mpya kbsa,bei ni 190 haipungui.150k vipi?
Ila kiuwezo tecno c7 inauwez kuliko c8 yaan c7 haina tofaut sana na c9 sema size tu..so huwez fananisha c8 na c7,c7 ina uwezo zaid.Dukani Mpya C8 kwa sasa unaipata kwa 280.000 tu . Hiyo bei sio HALISI kwa simu hiyo.
Ila kiuwezo tecno c7 inauwez kuliko c8 yaan c7 haina tofaut sana na c9 sema size tu..so huwez fananisha c8 na c7,c7 ina uwezo zaid.
Mimi nimemsoma lakini ni muongo yani c7 inauwezo kuliko c8 mungo kabisaaKama kuna mtu atakuwa amekuelewa kwa hii post atakuwa genius.
Ndo ukwel or uliza vzr wanaojua cm c8 camera nyuma megpxl 13 mbele megpxl 5 wakat c7 ina 13 kwa zote yan nyum na mbele, c8 RAM ni 1gb...wakat c7 ni 2 gb afu bado tubishane ndugu yangu ila km uwezo ni ukubwa utakua sawa mana ilichozid c8 ni ukubwa tuu zaid ya hapo haina cha kuizid c7 zaid imezidiwa.Mimi nimemsoma lakini ni muongo yani c7 inauwezo kuliko c8 mungo kabisaa
Ishauzwa boss.Chukua l00000