Techno pavour 3 msaada jinsi ya kuweka line

BABA SANIAH

JF-Expert Member
Oct 20, 2013
4,496
5,693
Wadau WA jukwaa,kuna manzi wangu kanunua hiyo bidhaa,sasa kaniletea nimuwekee line na kupakua mavitu,
Nimeanza kuchemka,msaada kwa anaejua jinsi ya kuweka line.
Natanguliza shukrani za dhati.
 
Back
Top Bottom