techniques makini za kuwa chonjo na mchumba/mke mmachame

Donpela

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
2,040
591
habari ndugu zangu...binafi nina mchumba wa kichaga mmachame....sasa rafiki zangu wananitahatharisha sana...ila binafsi sijaona mabadiliko yoyote tangu tuwe pamoja miaka 3 iliopita..
Niishaurini dalili za awa wanawake wa machane endapo wanataka kunipindua...kwa mtu mwenye kipato cha wastani kama mimi
 
"for every general rule there is an exception" kwahiyo siyo lazima kwa sababu mwanamke fulani ni mmachame basi lazime atakuwa na tabia za kimachame. Tabia ya mtu wakati mwingine inaathiriwa na mazingira anayoishi au mahali anapofanya kazi.
 
sure thing mdau...
 
Hayo ni maneno tu ya watu coz nina friend wangu, kamuoa mmachame na wanaishi poa tu mbona.

ebwana hicho ndo nacho jaribu kuwaelesha rafiki zangu...lakini uwezi amini wana uhakika asilimia mia mie ntatangulia kabla ya wao....tukitoka kwenda kupata mbili tatu wikend bila mamaa.....uo ndo utani wa kila siku
 
Mh jamani mbona mwawaandama sana,wmachame kwani wamewakosea nini? Ayo yote unayoyasikia ni historia ya miaka mingi sana ilopita,awana shida kiongozi ila jua tu ni wapenda maendeleo sana, na huwa upuuuuzi awapendi ndicho kitu kinachowafanya waonekane wakorofi
 
Atakuua muda si mrefu ,wale mm nawafahamu ni wanaume part two!asili ni asili ww kwani kabila lako hamna wanawake!
 
1st ... I dont like your heading.
2nd...dont be brainwashed.have your own decision.

hehehehe umenikumbusha kidogo mzee wangu...eti 1st.........sory if it offended u in 1 way or another...wel upon this matter,my decisions are partly inview upon others opinions(ndugu zangu wa karibu)...
Majuto....or sikio la kufa....or lisemwalo.......c unajua culture zetu mkuu
 
Mh jamani mbona mwawaandama sana,wmachame kwani wamewakosea nini? Ayo yote unayoyasikia ni historia ya miaka mingi sana ilopita,awana shida kiongozi ila jua tu ni wapenda maendeleo sana, na huwa upuuuuzi awapendi ndicho kitu kinachowafanya waonekane wakorofi

dah mkuu.....yan kweli...ulicho ongea apo ndo kama uyu mamaa umu ndani....nikizidisha bia tatu kwa hela kutoka mfukoni mwangu atakavyo umia....mambo ya kijinga jinga ndo akuna kabisaaaaa..ki umri (ki ukomavu wa kiakili) anaonekana kanizid..kumbe mie ndo mku
 
Atakuua muda si mrefu ,wale mm nawafahamu ni wanaume part two!asili ni asili ww kwani kabila lako hamna wanawake!

dah kaka nimejaribu kuangalia upande wa pili....kwamba mie ndo mkosefu kila cku,msumbufu mie,ye walaa,anantii,atabisha panapostahili.,atanuna panapohusika..kwetu mwakaleli akuna ki2 uko mkuu..hahahahahaha kuna mabomba 2 ya maji ka2wekea mwandosya
 
Sasa ifikie tuache masuala ya Machame! Naona imekuwa too much. Despite of all these critisms lakini soko lao bado linaonekana liko juu kuliko wanawake wote. Hata mimi ninampango wa kuchukua hukohuko!!
 
hahahaha usiogope....ila tahadhari muhimu..mie nachukua uko na nataka kuoa uko..
Ila kuangalia mtazamo si mbaya pia
 
"for every general rule there is an exception" kwahiyo siyo lazima kwa sababu mwanamke fulani ni mmachame basi lazime atakuwa na tabia za kimachame. Tabia ya mtu wakati mwingine inaathiriwa na mazingira anayoishi au mahali anapofanya kazi.
Ukweli tabia ya mwanadamu inaathiriwa na vitu vingi sana; 1. Mazingira aliyokulia mtu yanaweza kuwa na athari kwa kiasi fulani hususani akiwa mdogo hapo nipo kipindi mtu hupokea mafundisho na kuzingatia kam amri kumi za Mungu. 2. Elimu, hii inaweza kuwa ya dini au ya dunia. Sijui kama kuna ukweli eti kuoa wanawake waliopandisha kidato kihivyo sometimes ni shughuli pevu. Elimu ya dini humsaidia kumshape mwanamke awe mtii na mnyenyekevu kwa mumewe sana na mafundisho mengine ya kiroho ambayo yatamfanya awe mama bora mwenye hofu na Mungu. 3. Malezi. Hapo napo ipo shida kwani malezi yanatoautiana baina ya familia na familia. Kuna kipindi malezi huleta athari za kisaikolojia kwa watoto. Sasa unachotakiwa ni kupima jinsi mke wako anavyo behave kisha uone je kuna ukweli na hayo unayosikia? Epuka yeye kujua unamchunguza hutapata majibu muafak.
 
"for every general rule there is an exception" kwahiyo siyo lazima kwa sababu mwanamke fulani ni mmachame basi lazime atakuwa na tabia za kimachame. Tabia ya mtu wakati mwingine inaathiriwa na mazingira anayoishi au mahali anapofanya kazi.
Jamaa katanguliza prejudice.
 
Daudi....am not trying to be so prejudiced
am just trying to get various opinions on matters which are facing jamii na mimi ki binafsi...
 
habari ndugu zangu...binafi nina mchumba wa kichaga mmachame....sasa rafiki zangu wananitahatharisha sana...ila binafsi sijaona mabadiliko yoyote tangu tuwe pamoja miaka 3 iliopita..
Niishaurini dalili za awa wanawake wa machane endapo wanataka kunipindua...kwa mtu mwenye kipato cha wastani kama mimi

hapo kwenye red tayari unaonekana hata wewe una wasiwasi...mchumba kwa miaka mitatu? Huyo anafaa kuwa hawara tu na siyo mke.
 
ndugu yangu unachokitafuta kwa huyo mmchame utakipata,hicho kipato kidogo kitahamia kwa mama-mkwe kipindi hicho wewe tutakua tunakupa R.I.P,usiwasikilize hawa jamaa eti yalikua ya zamani,ndugu hadi sasa yapo,kama unampenda we mpende zaid,ila yaweza kukukuta.
 
Mie nimeoa ****** Maneno ni hayo Siku zote utafikiri nimeoa ukoo Wa msukule. Ila love is btn two people
 
Back
Top Bottom