Technical issues: Picha kwenye tv kuonekana juu chini

NG'HULU

Member
Jan 20, 2013
7
8
Habari za leo wana JamiiForums, ni shida kubwa TV yangu aina ya TCL picture zipo upside down nifanyaje ili zile zinaonekana vizuri.
 
Ulibadilisha display panel ya au kifaa chochote kwenye hiyo TV?
 
Smart TV?

Screen rotation displays content in landscape (horizontal) or portrait (vertical) and isn't available for all apps. Simply turn the device to change the view.

  1. From a Home screen, swipe up to display all apps.
  2. Navigate: Settings
    Settings icon
    > Accessibility.
  3. Tap the Auto-rotate screen switch to turn on
    Switch on
    or off
    Switch off
    .
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom