Echolima
JF-Expert Member
- Oct 28, 2007
- 3,826
- 2,057
Nchi hii ccm wameifanya shamba la bibi kuvurunda wanavurunda wao lakini mzigo wote wanauangushia kwa wananchi baada ya kudanganywa kwa sentesi ndefu zenye kushusha lawama kwa wasiohusika na wahusika kulindwa kwa nguvu zote.ni kweli kabisa wananchi ndiyo wataisoma hiyo namba!!!!! wao wakiwa wanakula kiyoyozi tu!!!Kulipa watalipa (akina nani?) bila shaka na kwa kutumia pesa zao (au za wananchi?)