Technical Advice Needed: Nissan Caravan kuchemsha

Mtoto Tajiri

JF-Expert Member
Sep 29, 2014
300
172
Habari Wakuu! Hivi kwanini hizi Nissan caravan zinaongoza kuchemsha? Je ni kwa sababu nyingi zinatumia rejeta za plastik au vipi!? Wenye uzoefu wa hizi gari nahitaji njia mbadala ya kutatua matatizo hayo ambayo ni mengi tu kwenye nissan caravan.
 
badilisha radiator tu,hapo utaiweza la sivyo itakutesa.
Kuna mtu alifanya hivyo akaendelea kupiga kazi,kwa foleni ya Dar na gari inakuwa haiko kwenye mwendo muda mrefu kwa ajili ya foleni kwa aina ya Caravan lazima itachemsha.
 
Shukran kwa mchango wako
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom