Kanisa Katoliki lapoteza Mapadri 25 na Watawa 60 kwa tatizo la upumuaji ndani ya miezi miwili

Wao ndio viongozi wa hayo makanisa. Wanajua vizuri namna ya kuyaendesha. Wewe ni nani kuanza kuwaelekeza namna ya kufanya. Ujuaji ambao hauna maana. Bure kabisa!
Hata rais ni Kiongozi anajua jinsi ya kuendesha, wewe ni nani uanze kumuuelekeza namna ya kufanya?

Waambie wafunge makanisa kama kweli wako serious na corona
 
Povu lote hili kwa sababu Padri kasema kuna korona? Na kwamba mapadri na masisita wamekufa?

Prove him wrong by giving comparative data. Bila data wacha kutujazia jukwaa na pumba zako.
Acha kupanic kijana, mwambie huyo askofu afunge ibada ili watu wasikusanyane wasijikuambukizwa corona
 
Mungu anajibu barua yangu kwa papa kwa njia ya ajabu na ya kipekee kumbukeni malalamiko yangu juu ya kanisa katoliki Tanzania. Mimi nikiwa mkatoliki nilikwazwa na unafiki wa kanisa katoliki Tanzania mpaka nikamwandikia pope barua Sasa kabla hamjaninijibu muumba wa mbingu na ardhi ameshatoa majibu.
 
Naomba wataalamu waupandishe ule Uzi wangu unaohusu udhaifu wa kanisa katoliki Tanzania.
 
Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima amesema kuwa ndani ya miezi miwili iliyopita zaidi ya mapadri 25, masista na manesi 60 na wenyeviti wawili wa Baraza la Walei wamefariki dunia kwa sababu mbalimbali ikiwemo changamoto ya upumuaji.

Ameongeza kuwa vifo vinaendelea na kuwataka Watanzania kuendelea kuchukua tahadhari na kuacha mzaha katika katika suala zima la Corona.

Huyu Mungu si hirizi, anataka kila binadamu awajibike na atumie uwezo wake kufikiri. Corona ipo, unaambiwa chukua tahadhari unasema mimi nasali. Mungu wetu anataka watu wawajibike, si kusema tu, tunasali - Ameongeza Padri Charles Kitima

Ukisema Mungu siyo hirizi na wewe huku ni mkristo yani wewe huna tofauti na mpagani.
Afu hao mapadri na watawa wamekufaje ? Mlishindwa kujikinga mpaka serikale iwambie mnawe mikono,mvae barakoa ?Anywhere poleni.kama walikuwa watakatifu bila shaka wameenda kwa mola wao
 
  • Thanks
Reactions: Ame

Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima amesema kuwa ndani ya miezi miwili iliyopita zaidi ya mapadri 25, masista na manesi 60 na wenyeviti wawili wa Baraza la Walei wamefariki dunia kwa sababu mbalimbali ikiwemo changamoto ya upumuaji.

Ameongeza kuwa vifo vinaendelea na kuwataka Watanzania kuendelea kuchukua tahadhari na kuacha mzaha katika katika suala zima la Corona.

Huyu Mungu si hirizi, anataka kila binadamu awajibike na atumie uwezo wake kufikiri. Corona ipo, unaambiwa chukua tahadhari unasema mimi nasali. Mungu wetu anataka watu wawajibike, si kusema tu, tunasali - Ameongeza Padri Charles Kitima

Padre Kitima ajielekeze kwenye namna ya kuwalinda mapadre na masisita wa kanisa lake juu ya kuepuka virusi hivi. Bila ya kubadili kanuni na desturi za kanisa hilo, mapadre na watawa hawa wataendelea kwenda kwa Mwenyezi Mungu kwa kasi kubwa. Barakoa hazitaweza kuwaepusha. Ulaya na Amerika barakoa zimeshindwa kuepusha maambukizi na vifo, sembuse sisi.

Kwa kumsaidia aangalie mambo yafuatayo ya kanuni na desturi za kanisa lake:

1. Utaratibu wa kuungama ambaye anayeungama pamoja na padre wanakuwa kwenye kizimba kimoja at close distance ni hatarishi sana hata kama watakuwa wamevaa barakoa. Wawili hawa wanatakiwa waachane umbali wa mita 3, kitu ambacho itabidi wawili hawa waongee kwa sauti ya juu ili waweze kusikilizana. Hapo kutakuwa hakuna usiri wa hayo maungamo. Tunashauri katika enzi hizi za corona na magonjwa mengine (ni za kudumu), utaratibu huu ufutwe. Badala yake maungamo yafanyike kwa ujumula (mass) kwa waumini wote kanisani kimoyo moyo.

2. Makazi ya masista yaboreshwe ili kuruhusu social distancing. Hali ya sasa ya kuwalaza kwenye mazingira ya ki magheto ni hatari sana kwa gonjwa hili.

3. Sadaka na michango mingine kwa kanisa waumini waitoe kwa njia ya kielectronic kwani cash money inaweza kubeba virusi hivi kwa muda wa wiki nzima.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
... what a saddest moment! Wapumzike kwa amani. Corona ipo; wananchi tuchukue tahadhari tujiepushe na kauli za wanasiasa matapeli! Ukifa umekufa wewe ni simamnzi kwa familia yako huyo anayekudanganya hakuna Corona wala hatakuwa na msaada wowote kwa familia yako in your absence!

Jikinge na uwakinge wengine; jali uhai wako na wa wengine utakuwa umetimiza kwa matendo amri isemayo USIUE.

Tunajikingaje na Corona? Kwa barakoa na maji tiririka? Ukimwi ni kuacha zinaa. Hii ya covid sijui tunafanyaje ili tuepukane nayo. Na wazungu waje kujifunza kutoka kwetu
 
Padre Kitima ajielekeze kwenye namna ya kuwalinda mapadre na masisita wa kanisa lake juu ya kuepuka virusi hivi. Bila ya kubadili kanuni na desturi za kanisa hilo, mapadre na watawa hawa wataendelea kwenda kwa Mwenyezi Mungu kwa kasi kubwa. Barakoa hazitaweza kuwaepusha. Ulaya na Amerika barakoa zimeshindwa kuepusha maambukizi na vifo, sembuse sisi.

Kwa kumsaidia aangalie mambo yafuatayo ya kanuni na desturi za kanisa lake:

1. Utaratibu wa kuungama ambaye anayeungama pamoja na padre wanakuwa kwenye kizimba kimoja at close distance ni hatarishi sana hata kama watakuwa wamevaa barakoa. Wawili hawa wanatakiwa waachane umbali wa mita 3, kitu ambacho itabidi wawili hawa waongee kwa sauti ya juu ili waweze kusikilizana. Hapo kutakuwa hakuna usiri wa hayo maungamo. Tunashauri katika enzi hizi za corona na magonjwa mengine (ni za kudumu), utaratibu huu ufutwe. Badala yake maungamo yafanyike kwa ujumula (mass) kwa waumini wote kanisani kimoyo moyo.

2. Makazi ya masista yaboreshwe ili kuruhusu social distancing. Hali ya sasa ya kuwalaza kwenye mazingira ya ki magheto ni hatari sana kwa gonjwa hili.

3. Sadaka na michango mingine kwa kanisa waumini waitoe kwa njia ya kielectronic kwani cash money inaweza kubeba virusi hivi kwa muda wa wiki nzima.
Namba 3 : BOT ilishatoa maelekezo kwamba hela zake zina kemikali ambayo haitoweza kuruhusu virusi vya corona , je wananchi walidanganywa ?
 
Leo Katibu Mkuu(TEC) ametoka hadharani na kuwaeleza jinsi Covid 19 inavyouwa na inavyoendelea kuwauwa watumishi wa Kanisa. Mfano hai ni plae aliposema kuwa katika miezi miwili ugonjwa huu umeishawauwa takriban Mapadre 25 na Watawa kama 60.

Ni vema sasa Serikali ikawaruhusu dhehebu hiyo kuagiza chanjo ili kuwanusuru na vifo hivyo. Kumsomesha mtu mpaka awe Padre ni kama miaka 17 hivi na ni gharama kubwa laakini kwa ugonjwa huu mtu anapuputika kwa masaa tu.

Ni vema Serikali ikawaruhusu kuagiza dawa ya chanjo ya covid 19.
 
Leo Katibu Mkuu(TEC) ametoka hadharani na kuwaeleza jinsi Covid 19 inavyouwa na inavyoendelea kuwauwa watumishi wa Kanisa. Mfano hai ni plae aliposema kuwa katika miezi miwili ugonjwa huu umeishawauwa takriban Mapadre 25 na Watawa kama 60...
Epuka Misongamano.

Mapadre/Watawa wanaondoka kwa misongamano.
 
Kwani uongo mapadre siyo wazinzi?
Kwani uongo ni kundi lipi au akina nani si wazinzi? Una ndoa wewe? Wewe inawezekana ni mzinzi uliyeshindikana lakini kupitia siasa uchwara unakuja kupiga propaganda! Ogopa watumishi na maneno yako machafu kuchafua kazi yao yote ya utumishi!
 
Leo Katibu Mkuu(TEC) ametoka hadharani na kuwaeleza jinsi Covid 19 inavyouwa na inavyoendelea kuwauwa watumishi wa Kanisa. Mfano hai ni plae aliposema kuwa katika miezi miwili ugonjwa huu umeishawauwa takriban Mapadre 25 na Watawa kama 60...
Hawei kuruhusu chanjo mpaka watu wake wa karibu wa familia waondoke.

Ni mtu wa ajabu sana
 
Uhalali upi? Wakati watz wamempa kura za nguvu na wanamkubali. Mbona hukuchukua fomu na wewe ugombee urais ili tujue kama unakubarika TZ
Mimi najua kuwa nina pumzi ya Mungu. Pamoja na udhaifu wangu mwingine wote wa kibinadamu, bado nina Roho wa Mungu. Ni aheri niishi hata bila hata ya kuwa mjumbe wa serikali ya mtaa kuliko kuukubali ushetani.

Jiwe yeye, ana ujasiri mkubwa. Ana uwezo wa kuishi na shetani moyoni mwake, na akatenda matakwa ya shetani kama walivyofanya kwenye uchaguzi, akadhulumu kwa kuiba kura kama alivyofanya, na mengine maovu mengi kama ya kuua, kuteka watu, kuwapoteza watu, akaufurahia uovu huo hata bila ya kuumizwa na dhamira yake kwa sababu dhamira yake ilikwishakufa.
 
Ni ajabu kulaumiana kwa vifo vya watawa huku historia ya Rome 2020 ikijulikana. Kwangu mimi kila mtu anatakiwa kuchukua tahadhari, kula vizuri, mazoezi na kumwomba Mungu sana
Kwani wapi wamelaumu mtu kwa vifo vya watawa? Wametoa takwimu kwa upande wa watumishi wa Kanisa ili ku raise awareness kiwango cha maambukizi na hatua za kuchukua. Hivi tunatetea nini hapa?

Mnajua kadri kasi ya maambukizi inavyozidi hata uwezekano wa kudhibiti maambuki mapya unakuwa mgumu?

Tuache kuhimizana kuchukua tahadhari kwa sauti ndogo huku tukiziponda hizo tahadhari kwa sauti kubwa! Kwahili la Covid lazima hatua zetu zibadilike kabla hatujavuliwa nguo!

Mbona early last year tulienda vizuri tu na hatukuhimizana kutovaa barakoa hadi hali ilipoanza kutengamaa?

Mnafikiri Maaskofu wanaweza kukaa na kujadili ujinga tu? Tusishupaze shingo!
 
Kwani mapadre wako kwenye kundi la wale watu wanaosikiliza kila kitu!!!!

Maana ni ajabu akina athumani kisogo huku uswazi wanapuyanga,padre anakwenda na corona kisa hakuvaa barakoa.

Mazoezi ni jambo muhimu sana.
 
Mimi najua kuwa ni pumzi ya Mungu. Pamoja na udhaifu wangu mwingine wote wa kibinadamu, bado nina Roho wa Mungu. Ni aheri niishi hata bila ya kuwa mjumbe wa serikali ua mtaa kuliko kuukubali ushetani...
Wewe hapo tu kwa maandishi hayo unaonekana una mapepo yamekujaa.
 
Padre Kitima ajielekeze kwenye namna ya kuwalinda mapadre na masisita wa kanisa lake juu ya kuepuka virusi hivi. Bila ya kubadili kanuni na desturi za kanisa hilo, mapadre na watawa hawa wataendelea kwenda kwa Mwenyezi Mungu kwa kasi kubwa...
Hakuona haya yote yeye akili yake yote ni kunyoosha kidole kimoja kwa viongozi wakati vinne vinarudi kwake...Saaad!
 
Back
Top Bottom