Elections 2015 Team Magufuli tukutane hapa tushangilie ushindi!

Mkuu idawa bila kukusahau

Shukrani mkuu mimi nilipishana na Lowasa mlangoni yeye anaingia Chadema mimi natoka, Nafurahi kuona kura yangu ikifanya maajabu serikalini.

Mungu amlinde Magufuli!
 
Last edited by a moderator:
Mnashangilia bao la mkono sio ushindi. Tena shangilieni sana maana inaweza ikawa mara yenu ya mwisho. Zanzibar hamna jinsi nyingine bali kukubali kushindwa.
 
Back
Top Bottom